Tunatoa huduma ya kubadili Torrents kwenda kwenye file formats
nyingine kama .zip, .rar na .exe ambazo unaweza kudownload kwa kutumia download
manager yoyote kama vile IDM, DAP au hata kupitia kwenye browser yako (kwenye
simu na kwenye computer).
- Unaruhusiwa kutuma links za files tofauti mpaka pale size ya hizo files itakapolingana na size ya kifurushi ulicholipia.
- Tutatunza file lako kwa mwezi mmoja tu (kama utaendelea kutumia huduma yetu, files zako zitaendelea kuwepo)
- Parallel downloads zinakubalika
- Download speed haina kikomo.
NB: Tunapokea links kwa njia ya email
Unaweza kuona mifano kwenye picha zifuatazo:
Mawasiliano
v Simu: 0752656939
0653955335
Malipo yanaweza kufanyika kupitia M-Pesa na Tigo Pesa





0 comments:
Post a Comment